In Stock

Angle za Kabati

$ 0.69

Categories: , ,
Unaweza kuweka mbao kwa ajili ya kabati lako la ukutani. Tumia angle za kabati hizi upate nafasi zaidi ya kuweka vitu vyako mbali mbali. Ni rahisi kwa matumizi na hugongelewa kwenye ukuta.