In Stock

Bati Ft 10 G30

$ 8.27

Categories: , ,
Mabati ya Futi 10 G30 yapo kwa bei nafuu, ezeka nyumba yako na mabati yanayodumu kwa muda mrefu. Epuka kuingia gharama mara kwa mara, chukua bati chapa ya SD. Bati imara lenye uzito elekevu wa ubora.