In Stock

Bit Ukuta, Chuma & Mbao

$ 2.07

Categories: , ,
Bit hutumika kutengeneza mashimo yatumikayo kuweka screw, nondo au misumari. Bit huwa kwa ajili ya chuma, ukuta na mbao. Bit huwa katika saizi tofauti; 6mm, 8mm, 16mm n.k