In Stock

Angle Valve 3/4″ x 1/2″

$ 4.83

Categories: , ,
Angle Valve ya 3/4″ x 1/2″ husaidia bomba au mkonga wa kuogea kuingia kwenye tundu la juu la 1/2″ na maji kupokelewa upande wa 3/4″. Fundi huweza kukushauri matumizi sahihi ya angle valve kwani huwa katika size tofauti.