In Stock

Monkey Wire – Galvanized

$ 1.72

Categories: , ,
Description Monkey wire ni chuma iliyozungushwa na plastiki (pvc) imara kuzuia kutu. Monkey wire huja katika futi 4 na 5. Monkey wire hufaa katika kushikiza nyavu za dirisha la chumba, Monkey wire huweza pia kutumika kama chekechekeo.